Genevieve Nnaji sio tu ni muigizaji mzuri lakini pia ni moja ya stylish actress kutoka Nigeria, kitu kimoja tunapenda kutoka kwake ni kwamba she is unpredictable, huwezi jua leo atavaa nini her styles & looks changes every day, kuanzia kwenye red carpet, harusini na hata mavazi yake ya kawaida. Leo tunakuletea Red Carpet looks zake za zamani kidogo ambazo zimetuvutia
2013 Katika Event ya AMVCA, Genevive alivaa hii white dress ambayo kifuani inaonyesha kifua kidogo, she wore simple makeup na nywele zilikua styled nicely.
2014 Genevieve Nnaji alivaa this beautiful dress katika event ya AMVCA, ni two in one outfit nje ni sheer dress ambayo ndani alivalia crop top na skirt ya kitange she didn’t only look elegant but stylish as well, Make up ilikua proper done, accessory on point & nywele zilikua vizuri.
2014 Genevieve ali attend katika Ebony Tv Launch akiwa amevali a blue dress ambayo ionyesja vizuri her curve’s, always ana opt for simple accessories and simple hair do na minimum makeup look.
AMVCA 2015 red carpet Genevieve alivaa this off shoulder mustard color dress ame accessorize na minimum pink accessories akamalizia na gold na red clutch, unaweza kuona jinsi ame
Kama kuna tip tumepata kutoka kwa Genevieve ni kwamba always wear a timeless dress kwenye events and chagua makeup simple ili mtu yoyote wa miaka ijayo atakapo kuona akuone natural kuliko kwenda sana na trend na ukaja kuonekana too much.
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/genevive-nnaji-red-carpet-evolution/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/genevive-nnaji-red-carpet-evolution/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 94826 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/genevive-nnaji-red-carpet-evolution/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/genevive-nnaji-red-carpet-evolution/ […]
sleep meditation
sleep meditation