Fashionista Lavidoz ameenda birthday treat vocation, ambapo ameingia miaka 30 ( happy birthday slayer) well katika hii vocation yake Lavidoz hakuacha kutupa highlights za nini amevaa. She throw the whole corporate looks away & choose to be comfy & casual chic.
Alichagua suruali za vitambaa ambazo zimekaa kama track pants, zimeachia zipo comfortable, unaweza kutafuta suruali yako yoyote ambayo haikubani sana we all know weekend is for relaxation
Hapa alivaa pant yake yenye rangi ya nude na white, vans nyeusi na nyeups na graphic tee akamalizia na wide hoop earrings, black glasses na cross body min bag
Hii tuliipenda sana jinsi alivyo mix neutral colors, blue, nyeupe na brown trouser akiwa ameivalia na t-shirt yenye rangi sawa na suruali yake amemalizaia na cross min bag, miwani na open heels nyeupe this look is stylish & comfy perfect for holiday, weekend and vocation.
Tungependa kujua Lavidoz ametoa wapi hizi suruali hapa alivaa bold color suruari ambayo inafanana na hio ya juu except hii rangi zake zina shout, white tee na converse nyeupe huku akimalizia na denim jacket na miwani.
Well kama una mtoko wa movie, brunch na washkaji unaweza kuwa inspired na moja kati ya hii mitoko, style vile upendavyo.
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/get-inspired-by-lavidoz-vocation-looks-on-this-weekend/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/get-inspired-by-lavidoz-vocation-looks-on-this-weekend/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/get-inspired-by-lavidoz-vocation-looks-on-this-weekend/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/get-inspired-by-lavidoz-vocation-looks-on-this-weekend/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/get-inspired-by-lavidoz-vocation-looks-on-this-weekend/ […]