Hii inaweza kuwa too little too late kwa sisi kuandikia inawezekana umeshaandaa nguo yako ya kuvaa kesho kwenye Beauty Legacy Gala Tanzania 2020, lakini tumeona ni vyema kutoa hii Elimu kabla baadhi yenu hamjatoka na kuharibu theme ya watu
Black Tie Attire Theme – Ki ujumla black tie attire ni formal dress codes. Ambapo unatakiwa kuvaa mavazi ambayo ni rasmi kama koti, tuxedo na tai ( mara nyingi huwa tai nyeusi) hapa kama ni mwanaume au mwanamke umeamua kuvaa suit lakini kuhusu dresses / magauni yanayofaa kwenye event hii ni full ball gown, shorter fancy cocktail dress ambayo inaendana na event isiwe fupi sana lakini pia angalia neckline yako isionekane sana as theme ipo ni formal huvai mavazi yenye cleavage sana.
Yes unaweza kuongezea accessories kama necklaces, pete, hereni etc.
Kumaliza au kukupa idea kamili unaweza kuwaangalia Julitha Kabete, Nancy Sumari Na Hapiness Magesse walichovaa, wapo classy lakini pia sassy.
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 51687 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/get-to-know-black-tie-theme-for-beauty-legacy-gala-tanzania-2020/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 57964 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/get-to-know-black-tie-theme-for-beauty-legacy-gala-tanzania-2020/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/get-to-know-black-tie-theme-for-beauty-legacy-gala-tanzania-2020/ […]