Wakati mama yao akiendelea ku trend kwa jinsi alivyo pendeza katika mlo wa usiku ambao uliandaliwa rasmi kwa ajili ya Waziri mkuu mpya wa Canada, Malia na Sasha nao walipendeza na magauni yao kutoka kwa mbunifu Naeem Khan kilicho onekana kuishangaza Dunia ni gharama za magauni hayo wengine wakisema ni gharama kubwa sana kwa mavazi ya watoto wenye umri wa miaka 17 na 14.
Malia alivalia gauni la cream kutoka kwa Naeem Khan ambalo kwa sasa lipo out of stock yaani yameuzwa yote ambapo gharama yake ni $17,990 sawa na tsh 39,578,000
wakati gauni la Sasha pia linatoka kwa mbunifu huyohuyo lakini hili linauzwa $19,990 sawa na Tsh 43,978,000
pesa hizo zina weza kuwa mtaji wa biashara Tanzania au hata kununulia kiwanja katika baadhi ya maeneo lakini hawa ni watoto wa rais wa dunia ni haki kuvaa hivo na wame pendeza haswa.
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/gharama-za-mitoko-ya-malia-na-sasha-obama/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/gharama-za-mitoko-ya-malia-na-sasha-obama/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/gharama-za-mitoko-ya-malia-na-sasha-obama/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/gharama-za-mitoko-ya-malia-na-sasha-obama/ […]