Wakati wengine tukiwaita couple goals kwa kuwa wana slay pamoja mwanamitindo Gigi Hadid yeye anajua how to mark her territory kwa kuvaa mavazi na accessories zenye jina la mpenzi wake Zayn Malik ( I would too if he was mine the boy is gorgeous), Gigi amekuwa spotted mara nyingi akiwa amevaa mavazi na accessories zilizo andikwa jina Zayn ambae ndio mpenziwe. Tunaweza kusema Gigi does not play when it comes to her man.
Gigi amekuwa spotted akiwa amevaa t-shirt nyeupe yenye maandishi meusi yaliyo andikwa lol ( laughing out loud) your not Zayn Malik , she styled the t-shirt na leather pants huku akiwa ame accessorize na choker nyeusi, herein na clutch.
Wakati band t-shirt zikiwa zina trend Gigi yeye ameamua ku-print yake yenye jina la Zayn ame style na long coat, pants na boots well Gigi this outfit is fire for a music concert, let them know you own him.
Gigi akiwa amevalia suruali ambayo imekua embroidered mfuko kwenye mfuko wa nyuma wa suruali kwa kuandikwa jina mpenziwe Zayn, well its a good way to pop some color on your trouser and outfit.
mara hii Gigi ameonekana kubeba simu yake ambayo ina cover iliyo andikwa jina la mpenziwe huyo Zain, well to us its a better way than kuchora Tattoo halafu mkaachana
do let us know you’re opinion on this
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/gigi-hadid-knows-how-to-mark-her-territory-fashionably/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/gigi-hadid-knows-how-to-mark-her-territory-fashionably/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 21469 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/gigi-hadid-knows-how-to-mark-her-territory-fashionably/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/gigi-hadid-knows-how-to-mark-her-territory-fashionably/ […]