Tukiwa tumekaa kwenye kijiwe chetu cha kupiga soga za hapa na pale kuhusu mitindo na mambo yanayo endelea likaibuka swala la Jacqueline Wolper na duka lake la nguo, kila mtu ana sema Jaque kuja na hio idea ilikua kitu ambacho ni bomb, tume ona mitindo ya Jacqueline miaka na miaka japo kuna kipindi ana disappoint lakini ni mara chache kuliko anazo pendeza.
Jacqueline ana endana na chochote anacho vaa na sense yake ya style sio ya bongo kabisa she is next level ukimuona Jaque chic basi ni chic kweli,kama coorporate ni corporate hasa na kama ni tom boy ni tom boy wa maana we love us some Jacqueline linapo kuja swala zima la mitindo
Well back to the point ya duka, kila product kwenye duka lake ni classic, stylish, colorful duka zuri na owner wa duka pia ni mzuri, ame fanya sehemu yake ya biashara very presentable (ina kuvutia tu kuingia hata upitishe macho tu) Lakini the sad part ni yeye kuamua kumfanya gigy money awe model wake. Okay Gigy si model wa kuuza nguo za Wolper as much as we are trying kuji convince lakini bado tuna rudi pale pale Gigy halikua chaguo bora.
Nguo anazo valishwa na styliwa gigy ukiziona dukani unaweza kubisha si same clothes as zinaonekana very cheap mwilini mwake kuliko dukani, Gigy hauzishi nguo ila ana jiuza mwenyewe, from pose to how nguo zina mkaa mwilini. tuna weza kukubali kwamba Gigy na wolper ni marafiki labda hio ndio sababu ya Wolper kumchagua gigy lakini kwenye biashara hakunaga urafiki sell your brand as expensive as you started it.
Hakuna kitu kigumu kama ujasiriamali na kwa kuona tu zile heka heka za Wolper kufuata mzigo china we can say ame tumia hela nyingi sasa kwanini a-let mtu amuharibie biashara kisa urafiki? Trust me katika asilimia 100% ya watu watakao taka kununua ngua kwako 90% utawapoteza kama utaendelea kumfanya Gigy a brand duka lako.
Your so good your self unaweza kuvaa mwenyewe uka ziuza nguo zako vizuri tu au kwani kitu gani una weza kukaa na model yoyote mkubwa mkapanga bei photoshoot mbili tatu na akauza nguo zako in a very decent way
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/gigy-money-anauza-product-za-wolper-au-anajiuza-mwenyewe/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/gigy-money-anauza-product-za-wolper-au-anajiuza-mwenyewe/ […]