SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Giuseppe Zanotti Watangaza Kurudisha Cruel Iconic Heels
Habari

Giuseppe Zanotti Watangaza Kurudisha Cruel Iconic Heels 

Remember this ?? Hiki kiatu ilituletea shida na copy za kichina zikawa kibao mtaani . Waliofanikowa kuvaa OG wabaki na heshima yao maswali kibao lakini kiukweli kwa Tanzania hii labda wasio na majina ambao hawajulikani ila ma star wetu wengi walitred kwa kuvaa copy za China.Yes ukibisha lete ushahidi nasisi tutakwambia kwanini tunao uhakika ni copy. Bora wale wa replica walitufariji kidogo kwa ubora wa kiatu.

Basi bwana, kama ulidhani shuguri imeisha bado tunayo maana Giuseppe Zanotti kwenye ukurasa wao wa Instagram wametangaza rasmi kwamba msimu wa Fall this queen is back but in one shade. Plum babe. ❤ 😍

Angalizo; msituumize meno , mkumbuke kwmaba OG kinatoka na rangi moja tu, Plum tusianze ona yellow na red. Black hakuna restock. Tukikuona na rangi nyingine utatupa mshangao unajiamini nini? Plum babe..the iconic , the most trending shoes is yet to disturb mioyo ya wapenda viatu.

Related posts