SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Glamorous Shoe Clips By Manyatta
Mitindo

Glamorous Shoe Clips By Manyatta 

Plain shoes zinaweza kuwa boring at times, hasa pale unapo taka kuvaa kiatu ambacho kinakupa statement feeling, well brand ya accessories ya Manyatta imekuletea Manyatta Shoes Accessories, hizi ni clip za viatu zilizo wekwa vito mbalimbali na unaweza kubadilisha kutokana na mahitaji yako, tulicho penda kuhusu hizi shoe accessories ni kwamba kuna zile ambazo zinakupa statement na zile ambazo za kawaida

Statetement  Shoes Accessories by Manyatta – hizi ni zile unaweza kubandika ukiwa unaenda mahala kama harusini, red carpet na unataka kiatu chako kiwe na extra something kisiwe boring, unaweza kutumia hata harusini.

 

Uzuri wa hizi accessories si za kubandika ni clips, kwaio huaribu kiatu na unaweza kuvaa as plain unapo hitaji kuvaa plain shoes, lakini pia una weza kuzipandika popote unapo taka mbele ya kiatu, nyuma,pembeni etc.

These shoe rings are every thing little touch’s zinazo weza kubadilisha muonekano wa kiatu chako from z to a

 

Casual/Traditional Shoe Accessories – hizi ni zile za day to day wear, yaani kama kazini, mitoko ya mchana etc. unaweza kuzi clip kwenye flat shoes pia sio heels pekee

Kama unahitaji kujua pa kuzipata tafadhali wa follow @manyatta_101

 

Related posts