SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Graduation Outfit Do And Dont’s
Dondoo

Graduation Outfit Do And Dont’s 

Ni graduation season kila mwanafunzi ambae amemaliza chuo/shule ana jiandaa na kusheherekea katika mahafali yake, lakini as usual swali la nini mtahiniwa huyu avae katika graduation yake huwa linakuja, ki kwetu kwetu ukiangalia kwenye mitandao wengi huwa wanavaa bandage dresses ambazo si mbaya zimekaa official lakini hii inafanya wengi wafanane, wengi wana vaa gauni aina moja kasoro rangi leo tunawaletea Gradution outfit do and don’ts lakini pia outfit ideas.

The Do’s 

 • Dress Comfortably – ni vyema kama utavaa nguo ambayo upo comfortable ku move, uweze kutembea lakini pia ambayo haitokua ina kusumbua kupanda juu kila ukitembea au ukikaa inabidi uishushe, unatakiwa kuonekana professional kama mwanazuoni ambae unamaliza chuo una pashwa kuonekana vizuri na vazi liwe la heshima kidogo maana wazazi wa wengine watakuepo pia.

 • Comfortable shoes – Wengi tunapenda kuvaa heels lakini kutembelea ni tatizo kubwa, jaribu kutafuta heel ambayo unaweza kutembelea  6 Inch heel isn’t for everybody, na sio lazima heel unaweza kuvaa flat shoes ambazo ni pointed toe zikakupendeza pia au mid heels au blocked heels

 • Coordinate outfit yako na rangi ya joho – jaribu kutafuta outfit ambayo inaendana na rangi ya joho, kama joho lina some pink rock a pink dress au white,ili uweze kuendana na rangi unaweza kukuta mtahiniwa amevaa gauni la njano joho la kijani kama shabiki wa yanga, jaribu kutafuta rangi ambazo zina uwiano

 • Unaweza kuvaa chochote si lazima short dresses – kuna vingi vya kuvaa, suit, suruali ya kitambaa na shirt au hata a good jumpsuit sio lazima sana kuvaa short dress

Do Simple & long lasting makeup – kwenye graduation huwa tunakaa sana kusikiliza hotuba na kugaiwa vyeti inachukua muda vyema upake simple makeup inayo kaa muda mrefu sio ukitokwa jasho tu na yenyewe imetoka.

The Don’ts 

 • Usivae magauni ya send off – well kunakuaga na confusion hapa wengi wananunua magauni ya send off wakaenda nayo kwenye graduation, Vaa a business casual outfit
 • Don’t spend too much time styling your hair – mwisho wa siku utavaa graduation cap jaribu kufanya hairstyle yako iwe simple yet classy

Related posts

5 Comments

 1. METHAMPHETAMINE CRYSTAL Buy Crystal Meth Online For Sale Australia

  … [Trackback]

  […] Here you can find 7670 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/graduation-outfit-do-and-donts/ […]

 2. Full Article

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/graduation-outfit-do-and-donts/ […]

 3. Live Adult Nude Cams

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/graduation-outfit-do-and-donts/ […]

 4. yacht boat rental in miami

  … [Trackback]

  […] Here you will find 56507 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/graduation-outfit-do-and-donts/ […]

 5. steenslagfolie prijs

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/graduation-outfit-do-and-donts/ […]

Leave a Reply