SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Graphic Pleated Skirts Are Trending Right Now
Mitindo

Graphic Pleated Skirts Are Trending Right Now 

Nani mwingine alikuwa anachukia skirt za marinda shule? well us too, lakini seems like kwenye Dunia ya kutokuvaa uniform skirt za marinda zina kiki sana kwa sasa, hizi skirt zimekuwa kwenye trend kwa muda sasa, kuanzia normal pleated skirt, zikaja metallic na sasa ni graphic pleated skirt.

Hizi mpya ni zile ambazo zina michoro michoro, inaweza kuwa maua, vikatuni nakadhalika, tumependa hii version ya sasa imechangamka na very stylish kama ni mpenda rangi ukichanganya unapendeza sana.

Lakini pia unaweza kuzivaa sehemu mbalimbali, kazini, casual, kwenye mitoko ya usiku nk, tumeona watu maarufu mbalimbali na fashionistas wakiwa wamevali skirt za mtindo huu,

 • Elizabeth Michael

In colorful pleated skirt akiwa amemalizia na black top, black hijab, miwani, belt na mkoba mweusi na statement yellow pumps

 

 • Zari The Bossylady
 • Alicia Keys 
 • Juddy Fashion

Well afromates would you rock this skirt?

 

Related posts

2 Comments

 1. see it here

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/graphic-pleated-skirts-are-trending-right-now/ […]

 2. spa music

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/graphic-pleated-skirts-are-trending-right-now/ […]

Comments are closed.