SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Gucci Affairs With Pokello Nare
Mitindo

Gucci Affairs With Pokello Nare 

Talking about rich auntie, Pokello Nare kutoka Zimbabwe ndio rich auntie ambae hana kelele ila she makes her wealth speak for itself. Week hii Pokello amepost outfit yake ambayo ni twoset za Gucci, Diana Handbag kutoka kwenye kampuni hiohio ya Gucci akamalizia muonekano wake na pink bottoms kutoka katika brand yake ya viatu.

Well kama ailivyo kawaida ilitubidi tuende kwenye website ya Gucci kupata bei ya vitu hivi

Pant ambayo amevaa mna shirt havina pineapple ambazo tumekuta kwenye website ya Gucci ni hizi zenye Pieapple ambazo bei ya pant ni $1,200 sawa na tsh 2,782,800

Wakati shirt ni Usd 1,350 sawa na Tsh 3,130,650

Wakati handbag aliyobeba inaitwa Gucci Diana handbag inauzwa $2,750 sawa na Tsh 6,377,250

Jumla ya outfit nzima ni tsh 12,290,700/- well tuambie a clap or slap?

Related posts

6 Comments

 1. เครดิตฟรี 50 ยืนยันเบอร์

  … [Trackback]

  […] There you can find 47930 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/gucci-affairs-with-pokello-nare/ […]

 2. Shroom chocolate bars

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/gucci-affairs-with-pokello-nare/ […]

 3. solitaire

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/gucci-affairs-with-pokello-nare/ […]

 4. Tropical Punch 1g Disposable Vape

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/gucci-affairs-with-pokello-nare/ […]

 5. Denver Cambodian Magic Mushrooms

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/gucci-affairs-with-pokello-nare/ […]

 6. DMT Online Store

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/gucci-affairs-with-pokello-nare/ […]

Comments are closed.