Tumemzoea Moschino na maajabu yake he always makes run way & fashion interesting na mwaka huu katembeza models wakiwa wamepakwa rangi kama aliens well inaitwa making headlines fanya ufanyacho ili watu wakuongelee baada ya kumaliza ku show case collection yako, as usual collection ya moschino ni colorful, well he went back to the 80’s & 90’s suit & accessories also hata michano ya nywele ya models ni ya kizamani.

Yellow shades

Pink-ish

Models wakubwa kama Bella Hadid na Gigi Hadid walikuepo kutembea katika collection yake

Wakati Gucci yeye alituletea Operation Room katika ru way yake, models walitembea wakiwa wamebeba vichwa mikononi, wengine wadudu na wengine walipakwa makeup ya kuwa na macho matatu, scary right?

well nani katisha zaidi kwenye creativity ya models?