SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Gym Outfit Idea’s
Mitindo

Gym Outfit Idea’s 

Where our gym girls at? na wale ambao tunaplan za kuanza gym mwaka huu tupo? Haya kuna ile kitu huwa tunasema gym kwenyewe sijui hata navaa nini, japo tunaenda kufanya mazoezi lakini haimaanishi tusipendeze right?

Tunakuletea gym outfits ideas ambapo unaweza kuchagua ambayo unaona inakufaa

Short / long Co-ord set

Kama sio muoga wa kuonyesha maungo yako basi fupi zinakufaa lakini kama sio mpenzi wa kuonyesha mwili wako basi vyema ununue ndefu kizuri sasa hivi kuna za kila aina na kila rangi ni wewe na mapenzi yako, tuone mfano hapo chini kutoka phina na Feza Kessy

T-shirt & Leggings / biker short kama ambavyo tumeona kwenye co ord set unaweza kuvaa long leggings au biker short kutokana na matakwa yako, unaweza ku-style t-shirt yako kwa kufunga mbele kama Kajala au ukaiachia kama Bhoke as usual it always come’s down to personal prefferences

Tuambie wewe umependa ipi zaidi?

Related posts

5 Comments

  1. Plantation Shutters

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/gym-outfit-ideas/ […]

  2. Mushroom Golden Teacher

    … [Trackback]

    […] There you can find 92049 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/gym-outfit-ideas/ […]

  3. motorkap beschermen tegen steenslag

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/gym-outfit-ideas/ […]

  4. click to read

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/gym-outfit-ideas/ […]

  5. official website

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/gym-outfit-ideas/ […]

Comments are closed.