Kanya Sesser ni mwanamitindo aliye zaliwa huko Thailand aliishi katika kituo cha kulelea watoto yatima mpaka pale alipo timiza miaka mitano ambapo alikuwa adopted na wazazi wa kufikia na kwenda kuishi Portland, USA.
Kanya Sesser ni mwanamitindo ambaye hana miguu na kwasasa ana miaka 23, mwanamitindo huyu ana tangaza nguo za ndani na anaishi Los Angeles, Kanya ana sema hata kama amepungukiwa viungo mwilini hio haimzuii yeye kujihisi Attractive.
“mimi niko tofauti na najihisi sexy, huitaji miguu kuwa sexy” Nafurahia kupata ela kupitia nilivyo na pia nafurahi kuwaonyesha watu uzuri upoje,hizi picha zinaonyesha ujasiri wangu.
pamoja na hayo yote Kanya hatumii kiti cha walemavu bali ana tumia skateboard kufanya shughuli zake. Unaweza kuwa yoyoyte na vyoyote kama tu una nia ya kuwa hivyo way to go Kanya.
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/hamasika-na-kanya-sesser/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hamasika-na-kanya-sesser/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/hamasika-na-kanya-sesser/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 31139 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hamasika-na-kanya-sesser/ […]