SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Hamisa Mobetto, Elizabeth Michael & Jihan Dimack Serving Looks
Mitindo

Hamisa Mobetto, Elizabeth Michael & Jihan Dimack Serving Looks 

Imekuwa muda toka tupate kuona watu maarufu wakitoka kwenda kwenye event usiku, seems like this week event zilikuwa nyinginyingi na wengi wali-attend, well we have 3 looks ambazo zimeonekana kupendwa na ku-trend sana katika mitandao ya kijamii.

Tunae Elizabeth Michael ambae alivaa purple & gold dress kutoka kwa mbunifu Kenny The Brand, wakati Jihan Dimack yeye alikuwa in gold angelic tinker bell dress kutoka kwa Mac Couture huku Hamisa akiwa in black lace dress kutoka kwa Mobetto styles.

Well Let Us Know Which Look Is Your Favorite?

Related posts