Hivi karibuni watoto wa watu maarufu Hamisa Mobetto na Fahyma walisheherekea siku zao za kuzaliwa, kama ilivyokawaida ya watu maarufu wengi hupiga picha na watoto wao kwa ajili ya kusheherekea kumbukumbu zao za kuzaliwa.
Hamisa yeye alikuwa akisheherekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wake wa kwanza anaeitwa Fantasy ambapo waliamua kuvalia african print ( kitenge), they looked so pretty.
Wakati Fahyma yeye alisheherekea siku ya kuzaliwa ya mwanae Jaydan ( wa kiume) wao waliamua kuwa kisasa zaidi, Fahyma alivalia burgundy dress wakati mwanae akiwa amevalia black & white suit, lovely.
Well Afromates kama una birthday photoshoot soon ya mwanao unaweza kuiga hizi kutoka kwa Hamisa na Fahyma
Wote wakiwa wamevalishwa na brand zao
Hamisa – Mobetto styles
Fahyma – Fahymalovesstyles
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/hamisa-mobetto-fahyma-are-giving-us-baby-fever-with-these-birthday-photo-shoots/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 31855 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hamisa-mobetto-fahyma-are-giving-us-baby-fever-with-these-birthday-photo-shoots/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hamisa-mobetto-fahyma-are-giving-us-baby-fever-with-these-birthday-photo-shoots/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hamisa-mobetto-fahyma-are-giving-us-baby-fever-with-these-birthday-photo-shoots/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hamisa-mobetto-fahyma-are-giving-us-baby-fever-with-these-birthday-photo-shoots/ […]