SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Hamisa Mobetto In Elisha Red Label Beautiful Dress
Mitindo

Hamisa Mobetto In Elisha Red Label Beautiful Dress 

Tunaweza kusema Tanzania ina wabunifu tatizo ni mazoea, tunaweza kusema jana mbunifu Elisha Red Label, Make up artist Lavie Makeup na Model Hamisa Mobetto wametupa a perfect gift for Valentines. Hamisa ame post picha akiwa in a perfact dress designed by Tanzania’n Designer Elisha red label, ni sequin dress ambayo ina rangi ya dark blue na chini ina rangi nyekundu ambayo inavutia machoni na hata kwenye mwili Hamisa

Hii gauni unaweza ku attend nayo kwenye harusi au hata red carpet ( can we get an Amen to red carpets? wengi tunajua red carpet ni miburuzo lakini kumbe kuna design nyingi unaweza kuvaa na ku attend red carpet na uka stand out, kama hii gauni ni jinsi ilivyo neat, fabric na hata deign yake its very classy & sexy)

ukiachana na gauni Lavie Makeup kamtendea haki Hamisa kwenye makeup ame mpaka dark smokey eyes ambayo rangi yake inaendana na gauni, we loved the nude lipstick hakuhitaji shouted lipstick as gauni imesha kua a statement piece & the hair is just aaagh everything

 

Ame accessorize na simple earrings which were perfect

Tumeanza kupata kile roho ilikua inataka kwa miaka sasa tuanze kutafuta events za kwenda.

Related posts

3 Comments

 1. dingle bearies chocolate covered gummy bears

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/hamisa-mobetto-in-elisha-red-label-beautiful-dress/ […]

 2. magical mushrooms for sale

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hamisa-mobetto-in-elisha-red-label-beautiful-dress/ […]

 3. Online businesses

  … [Trackback]

  […] There you will find 15737 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/hamisa-mobetto-in-elisha-red-label-beautiful-dress/ […]

Comments are closed.