SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Hamisa Mobetto Should Have Applied This Tip By Coco Channel On This Messy Outfit
Mitindo

Hamisa Mobetto Should Have Applied This Tip By Coco Channel On This Messy Outfit 

Siku chache nyuma mwanamitindo na mjasiriamali Hamisa Mobetto ali-post picture kwenye mtandao wa Instagram ambapo outfit yake ilichukua attention yetu, well alivaa a dress yenye rangi ya gold, ambayo ilikuwa na ruffles, it was a statement piece, amemalizia muonekano wake na kicks, socks nyeupe, akiwa ameachia nywele zake na beret

Kwetu baada ya kuona tu hii outfit tukakumbua Quote ya mbunifu mkongwe Coco Channel ambae yeye aliwahi kusema kabla ya kutoka nyumbani jiangalie katika kioo na punguza kitu kimoja,

Alitukumbusha hii quote kutokana na kwamba Hamisa alivaa vitu vingi ambavyo kama angejaribu kupunguza kimoja au viliwili basi hii outfit ingeeleweka, Gauni ilikuwa na ruffles tayari so much is going with the dress basi angebana nywele, na kutoa beret au angebana na kuivaa, or may be angevaa heels na kutoa hizi socks na kicks tungeelewa kidogo, sometimes you need to lose to win.

We hope tutaona hizi pieces wakati mwingine akiwa amevaa kwa namna nyingine na kuleta maana zaidi kwa maana pieces ni nzuri lakini si kwa kuzivaa pamoja ni kama mafuta na maji.

Related posts

2 Comments

  1. wapjig.com

    … [Trackback]

    […] Here you will find 57818 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hamisa-mobetto-should-have-applied-this-tip-by-coco-channel-on-this-messy-outfit/ […]

  2. 토렌트 다운

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/hamisa-mobetto-should-have-applied-this-tip-by-coco-channel-on-this-messy-outfit/ […]

Comments are closed.