SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Hamisa Mobetto, Sishkikii, Nengi & Others In Color Blocking Trend
Mitindo

Hamisa Mobetto, Sishkikii, Nengi & Others In Color Blocking Trend 

Color Blocking Trend imerudi tena, watu maarufu na wabunifu mbalimbali wameonekana kuvutiwa na trend hii kwa kutuonyesha namna mbalimbali unavyoweza ku-color block na mavazi yako.

Kuvaa mavazi yenye bold colors kuna faida mbalimbali ikiwepo:

  • Kuboost mood yako
  • Zinaongeza ufanisi katika siku yako
  • Zinakufanya uwe noticed kwa urahisi
  • Lakini pia una stand out

Week hii tumewaona watu maarufu na fashionistas hawa kutoka ndani na Nje ya Tanzania wakiwa wamevalia trend hii

Tulimuona Hamisa Mobetto akiwa ame-color block na skirt ya pink yenye 2 shades color, huku akiwa amemalizia na statement blouse ya Orange. Mwanadada Nengi yeye alichagua ku-color block akiwa amevalia hii colorfully blazer dress. Mwanamuziki Waje yeye alichagua kuvaa shorts za blue, blazer ya kijani pamoja na shirt ya orange.

lakini pia tulimuona Sishkiki ambae yeye alivaa blazer ya pink na suruali ya orange, mbunifu Olar Grace akiwa kwenye suruali ya blue, orange blouse na mint blazer na Enkay Ede Nkechinyere akiwa amevalia pink & orange

Well kama wewe ni mpenzi wa rangi basi sasa ndio muda wako wa kujiachia.

Related posts

3 Comments

  1. Buy Psychedelics Perth

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hamisa-mobetto-sishkikii-nengi-others-in-color-blocking-trend/ […]

  2. look at more info

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/hamisa-mobetto-sishkikii-nengi-others-in-color-blocking-trend/ […]

  3. ufabtb

    … [Trackback]

    […] Here you can find 15619 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hamisa-mobetto-sishkikii-nengi-others-in-color-blocking-trend/ […]

Comments are closed.