SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Hamisa Mobetto, Tanasha Donna Na Marioo Kwenye Utility Belt Bag Trend
Mitindo

Hamisa Mobetto, Tanasha Donna Na Marioo Kwenye Utility Belt Bag Trend 

Utility Fashion inarudi kwenye trend zamani kulikuwa na mavazi yanaitwa Timberland ambapo yalikua na mifuko mifuko mingi. Inaonekana trend hii inarudi lakini kwa sasa hivisio tu kwenye mavazi bali na mikoba pia, tumeona wabunifu mbalimbali wakiwa wamebuni vitu kama boilersuits to vests, cargo pants na utility waist bag ( fanny pack)

Watu maarufu kutoka sehemu mbalimbali wameonekana kuvutiwa na hii trend ambapo tumewaona watu maarufu kama Hamisa Mobetto, Marioo pamoja na Tanasha Donna wao wakiwa wamevaa trend kupitia bag za kiunoni yaani fanny packs.

Kwetu tunadhani hii trend ni stylish way ya ku-upgrade muonekano wako. well Afromates tuambie kwako trend hii imekaaje

Related posts