Watu maarufu wanajulikana kwa kuvaa bidhaa za bei ghali, hii ni kutokana na kutaka kuwa tofauti lakini pia kupata kilicho bora zaidi, as wengi huwa wanavaa original staffs sio kama sisi ambao tunavaa 2nd hand’s. Well mwanamitindo Hapiness Magese ameonekana akiwa amevalia kendall Miles Gold Snake Pumps zenye thamani ya $ 1,300/- sawa na Tzs 2’860’000/-

Amevaa viatu hivi na over sized yellow sweater, na leather pants huku akimalizia muonekano wake na over sized glasses

Alikua anamtoa mtoto wake for a walk, too cute.

mwingine ambae aliwahi kuvaa viatu hivi ni Fashionista Toke Makinwa yeye alivaa na white & yellow stripes dress

Unaweza ku-shop kiatu hiki hapa 

Tuambie nani  amependeza zaidi na hivi viatu?

Comments

comments