Kama mnakumbuka mwaka huu Mbunifu Mustafa Hassanali alibuni collection ambayo aliita “Endometriosis Collection” na kui-dedicate kwa mwanadada Millen (Hapiness) Magese ambae ana ugonjwa huo, Well tuliiongelea collection hii na kutoa mawazo yetu kuhusu hii collection kwamba haikutugusa kabisa na wala hatukumuona Millen katika ile collection
Well mwanadada Millen Magese amebuni vazi lake ambalo mwenyewe amesema yeye amekuwa akitamani kubuni vazi ambalo linaweza kusaidia ku-raise awareness kuhusu Endometriosis na hela kwa ajili ya wagonjwa ambao wanahitaji tunaweza kusema hiki ndicho ambacho tulikiongelea hii ndio dress ambayo tuliitegemea kutoka kwa Mustafa.
Tulitegemea kuona gauni ambalo ni powerful & elegant kama ambavyo Millen amebuni this dress defines her katika kila kitu, imebuniwa ki tofauti, finishing yale ipo neat as she is, well mwenyewe amesema mmpenda rangi na ubunifu na je ije kwenye rangi gani nyingine? kwetu sisi moja kwa moja imetujia zinakuja nyingine nyingi zaidi ya hii na zitauzwa kwa ajili ya kusaidia wagonjwa wa ugonjwa wa Endometriosis, we are here for this & we can’t wait kuona designs nyingine kutoka kwake.
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 80285 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/happiness-magese-abuni-hii-gauni-kuleta-awareness-ya-ugonjwa-wa-endometriosis/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/happiness-magese-abuni-hii-gauni-kuleta-awareness-ya-ugonjwa-wa-endometriosis/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/happiness-magese-abuni-hii-gauni-kuleta-awareness-ya-ugonjwa-wa-endometriosis/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/happiness-magese-abuni-hii-gauni-kuleta-awareness-ya-ugonjwa-wa-endometriosis/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/happiness-magese-abuni-hii-gauni-kuleta-awareness-ya-ugonjwa-wa-endometriosis/ […]