Ukiongelea kuhusu slayers wa Tanzania Hapiness Magesse hawezi kukosa japo kwa sasa makzi yake hayapo Nchini lakini tushukuru mitanadao na yeye mwenyewe kwa kuamua kuwa ana tu update mara kwa mara kuhusu vitu mbali mbali lakini pia her fashion style’s na kwa leo tutaongelea hii outfit yake aliyo itupia week hii akiwa amevaa shirt jeupe, short bandage skirt na red bottom boots hizo ni main
ambapo ali accessorize mtoko wake huo na small fur bag, miwani na huku akiwa hajaiacha the sock trend
baadae akaamua kuwa more creative kwa kuongezea blue embellished zara jeans jacket ambayo ili make a statement katika street style yake hii
alikuwa zake tu mtaani lakini ame pendeza hatari hii ikatukumbusha ule msemo wa Coco Chanel husemao ‘Every day is a Fashion Show And The World Is The Run Way” usisubiri mpaka uede kwenye red carpet upendeze pendeza tu muda na saa yoyote. Kama unamaoni tafadhali tuandukie kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook-afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 38242 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/happiness-magesse-street-style-with-red-bottom-boots/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 73366 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/happiness-magesse-street-style-with-red-bottom-boots/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 62676 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/happiness-magesse-street-style-with-red-bottom-boots/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/happiness-magesse-street-style-with-red-bottom-boots/ […]