Imezoeleka kuwa mitindo mingi inaanzia Nchi za Magharibi na baadae kufika katika nchi za Afrika lakini safarihii imekuwa tofautibaada ya Jarida la Elle, lenye makazi yake nchini Canada Kutweet kwamba DAKISHI ni bidhaa mpya inayo kiki katika sayari ya mitindo, kwa sababu watu maarufu kama Beyonce, Rihanna, Zendaya, Shay Mitchell, na Jhené Aiko walionekana wamevaa Dakishi hivi karibuni.
Jambo la kufurahisha ni kwamba Dakishi ni Vazi jipya kwao Ulaya ila kwetu Africa ipo muda mrefu na hii imeonekana baada ya majibu waliyo jibu watu huko Twitter, majibu hayo yalikua kama “Dakishi si kitu kipya imekua hiki kiki Africa maisha yetu yote” aliandika @LOVEugonma, Dakishi ipo Africa kwa muda sasa Dakishi si kitu kipya tusi hamasishe matumizi ya utamaduni” alisema mchangiaji mwingine.
Hii ime fanya tufikirie Je? Wazungu nao wanaushamba wao katika Tamaduni za Africa? Tumeona watu wengi wakitumia Dakishi enzi na enzi kwenye mziki,wabunifu barani Africa wamekua wakitumia Dakishi Kwa muda sasa, Je ni kwanini sasa hivi ndo waione bidhaa mpya? Mitindo yetu na yao ina tofautiana? Hakuna jibu sahihi lakini kitu ambacho kina uhakika Zaidi ni kwamba Mitindo yetu imeanza kukua, kinacho hitajika ni Juhudi ili kuikuza Zaidi. Kama Dakishi Imeweza kuandikwa kwenye gazeti kubwa kama Elle! Basi kanga na kitenge pia inawezakana
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 80236 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/hata-wao-wapo-nyuma/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/hata-wao-wapo-nyuma/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 75756 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/hata-wao-wapo-nyuma/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hata-wao-wapo-nyuma/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hata-wao-wapo-nyuma/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 78608 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hata-wao-wapo-nyuma/ […]