International model ambae anatokea Tanzania amepata nafasi nyingine tena ya kutembea katika Runway ya Victoria Secrets Fashion Show, Victoria Fashion Show ni moja ya Fashion Show kubwa lakini pia ni brand ambayo inauza mavazi ya ndani ya ghali zaidi.
The fashion show huwa inasubiriwa na wengi kuona whats new mwaka huu na vitauzwaje, Kwa models kupata nafasi ya kuvaa haya mavazi na kuyauza kwenye runway its a big deal sio tu kwa kutimiza ndoto zao kutimia bali pia kupata exposure they need.
Hii ni mara ya tatu Herieth anapata nafasi hii, let say three years in a row ameweza kuchaguliwa kutembea katika fashion show hii that could only mean one thing Our girl is doing a good job, Congrats Herieth and we can’t wait to see you flying those wings.
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/herieth-paul-kutembea-katika-runway-ya-victoria-secrets-fashion-show-kwa-mara-ya-tatu/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/herieth-paul-kutembea-katika-runway-ya-victoria-secrets-fashion-show-kwa-mara-ya-tatu/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/herieth-paul-kutembea-katika-runway-ya-victoria-secrets-fashion-show-kwa-mara-ya-tatu/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/herieth-paul-kutembea-katika-runway-ya-victoria-secrets-fashion-show-kwa-mara-ya-tatu/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 51999 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/herieth-paul-kutembea-katika-runway-ya-victoria-secrets-fashion-show-kwa-mara-ya-tatu/ […]