SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

HERIETH PAUL ROCKING REDDISH PAPRIKA CAPED JUMPSUIT
I'm A Celebrity

HERIETH PAUL ROCKING REDDISH PAPRIKA CAPED JUMPSUIT 

International Model kutoka Tanzania Bi Herieth Paul ambae kwa sasa ana jiandaa na kutembea katika jukwaa la Victori Secret December 5 ameonekana katika Tuzo za CFDA/Vogue Fashion Fund Awards 2016, ambao alivaa Jumpsuit iliyo mfit well ya rangi ya Reddish Paprika ambayo ina Cape nyuma

14607023_727040560785814_2184324120823463936_n

Kama Kawaida Herieth ame rock her natural hair na minimum makeup

2804310-herieth-paul-finale-du-2016-cfda-vogue-950x0-1

Tupe maoni yako kapendeza au too much? kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter _ afroswaggatz

Related posts