SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

HERIETH PAUL KATIKA JUKWAA LA VICTORIA SECRET FASHION SHOW
Mitindo

HERIETH PAUL KATIKA JUKWAA LA VICTORIA SECRET FASHION SHOW 

Mwanamitindo kutoka Tanzania Herrieth Paul ame inyanyua bendera yetu kwa mara nyingine tena usiku wa kuamkia leo baada ya kutembea katika Fashion Show ya Victoria Secret huko mjini Paris

Herrieth ambae alishindwa kujizua kuficha excitement aliyo nayo siku hiyo, alikuwa akipost picha zake za back stage akiwa ame caption “So excited to walk that run ways

15275499_648960498609978_3472359691630149632_n

wakati hii ndo group aliyo kuwa signed with iliyo pewa jina ‘buzz cut Angel15306512_1789802091232440_7693414105159303168_n

Herieth  akiwa ana tembea katika run way ya victoria secret show, kama kawaida Herieth ame rock her natural hair…. Hongera Herieth HERIETH-PAUL-LOOK-FROM-VICTORIA’S-SECRET-FASHION-SHOW-2016.

Tupe maoni yako kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Instagram – afroswaggatz

Related posts