SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Highlights Kutoka Katika Tanzania Red Ribbon Fashion Gala
Mitindo

Highlights Kutoka Katika Tanzania Red Ribbon Fashion Gala 

Tanzania Red Ribbon Fashion Gala ilifanyika jumamosi tarehe 30 wakati hii ni siku ya Ukimwi Duniani, kama ambavyo dhumuni la event hii ni kusaidia kuhamasisha na kusambaza taarifa kuhusu World Aids Day kupitia Fashion Na Pesa Zinazopatikana Zinaenda Kusaidia Kuwapa Ujuzi Watu Wenye Ulemavu Pamoja Na Wenye Uhitaji.

Event ilifana sana watu walipendeza, kila mmoja alionekana kuwa kwenye theme ambayo ilikwa black or red, ukumbi ulifurika rangi hizo lakini pia hawakutuangusha katika style za mavazi wengi walionekana classic & event appropriate.

Watu maarufu mbalimbali waliohudhuria hii event akiwepo, Faiza Ally ambae yeye alipendeza sana na red dress yake, makeup ilikuwa on point

Mwanamuziki kutoka Tanzania Wini na yeye alikuwepo tumependa hii sequin dress yake yenye rangi nyekundu na silver she looked dazzling

Mwanamuziki Lady Jay Dee na yeye alikuwepo akiwa amevalishwa na mbunifu Mwene Smile

Wabunifu mbalimbali walipandisha collection zao, akiwepo Irada Styles, Bijoux Trendy, Ally Rehmtullah, Martin Kadinda, Mwene Smile,Asya Khamsin, Lucky Creations, Jamilla Vera Swai, Mkwandule Son, Katty Collection na wengine wengi.

Irada Style’s Collection
Bijoux Trendy Collection ambapo alitumia batiki nyekundu na nyeusi as theme ya event ilivyotaka
Jamilla Vera Swai collection
Martin Kadinda’s Collection
Jadore Couture Collection
Ally Rehmtullah collection
Lucky Creations Collection
jojo_theafrican collection

Wabunifu wengi walijitaidi kuwa kwenye theme na collection zao, tulichopenda kingine ni diversity katika models, tumeona wamepandishwa wa aina mbalimbali, wenye mimba, plus size, vilema etc.

Related posts

6 Comments

 1. view it now

  … [Trackback]

  […] Here you can find 82207 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/highlights-kutoka-katika-tanzania-red-ribbon-fashion-gala/ […]

 2. credit card debt

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/highlights-kutoka-katika-tanzania-red-ribbon-fashion-gala/ […]

 3. 다시보기 사이트

  … [Trackback]

  […] There you can find 70071 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/highlights-kutoka-katika-tanzania-red-ribbon-fashion-gala/ […]

 4. buy cloned debit cards​

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/highlights-kutoka-katika-tanzania-red-ribbon-fashion-gala/ […]

 5. 토렌트

  … [Trackback]

  […] Here you can find 2472 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/highlights-kutoka-katika-tanzania-red-ribbon-fashion-gala/ […]

 6. buy dmt vape pen

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/highlights-kutoka-katika-tanzania-red-ribbon-fashion-gala/ […]

Comments are closed.