Mara tu tulipo ona hii cover ya Vogue Arabia April msemo wa “Be You The World Will Adjust” ulitujia kichwani, miaka michache nyuma models wengi walikuwa wakilalamika kutokuwepo na diversity katika modeling industry, lakini kwa sasa Dunia inaanza kukubali na kutumia models wa aina mbalimbali, kuanzia models weusi, wanene, wavaa hijab, wenye natural hair, nakadhalika.
Cover ya Vogue Arabia imehibitisha hili kwa kutumia models wa kiislam ambao wamevaa hijab katika cover yao, na wameongelea kuhusu Power of Choice and What Modesty Means Today, Models hao ni Halima, Amina Adan na Ikram Abdi Omar
Amina Adan alipoulizwa kuhusu personal experience na misconceptions zilizomtokea alisema ““Most people are afraid to ask questions and have a conversation about it, even if they are genuinely curious,” she says. “All they know about Muslim people stems from the news or videos on the internet about women not having the same rights as men.”
Wakati Ikram yeye alisema ” “I haven’t experienced any challenges wearing the hijab as a model, apart from the occasional question asking if I was forced to wear it – which I wasn’t.”
Amina yeye alisema “It’s important to remember that wearing a hijab is a woman’s personal choice, and I never claimed to be the perfect Muslim girl”
Unaweza kusoma zaidi hapa en.vogue.me
Editor-in-Chief Manuel Arnaut (@mrarnaut) |
Photography: Txema Yeste (@txemayeste)
| Fashion Director: Katie Trotter (@katieellentrotter)
| Make up: Karim Rahman (@karimrahmanmakeup)
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/hijabi-models-wa-cover-gazeti-la-vogue-arabia/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/hijabi-models-wa-cover-gazeti-la-vogue-arabia/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/hijabi-models-wa-cover-gazeti-la-vogue-arabia/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hijabi-models-wa-cover-gazeti-la-vogue-arabia/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hijabi-models-wa-cover-gazeti-la-vogue-arabia/ […]