Ikiwa ni Ijumaa ya kwanza katika mwezi wa nne, tunakuletea sio tu Fashionista bali pia mbunifu wa Abaya kutoka Tanzania, An-nisa kama ambavyo wengi tunamjua hilo ni jina la kampuni au bidhaa yake jina lake kamili ni Fatmah Naeem, Fatmah Naeem amesomea mitindo katika shule iliyopo Toronto Nchini Canada, lakini An-nisa aliamua kujikita katika kubuni Abaya na si mavazi mengine.
Leo tunakuletea Collection yake mpya Spring 2016
Kama ambavyo inaonekana An-nisa ana fanya ubunifu wa Abaya ambazo ni za kisasa kutumia vitambaa vya kisasa kabisa, kwa kuangalia tu utaona Abaya zina quality nzuri na pia nyepesi hazipitishi joto.
Mpiga picha- ossegsinare
Stylist- Rio Paul
Mua- Fatin Akrabi
Model- Zainab
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/hijabista-annisa-abaya-spring-2016-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hijabista-annisa-abaya-spring-2016-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/hijabista-annisa-abaya-spring-2016-collection/ […]