SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

HIJABISTA NABALLAH CHI
Mitindo

HIJABISTA NABALLAH CHI 

Anaitwa Naballah Chi ana tokea Trinidad ni Hijabista,Blogger, Vlogger na ni mbunifu, Naballah ana sema anapo kuwa ana jiandaa na mavazi yake huwa ana chagua rangi ambazo si za kawaida yaani tume zoea kuona labda nyeusi na nyeupe lakini yeye ana weza akachagua nyeusi na zambarau au nyeupe na gold, rangi ambazo si mara nyigi kuona watu wamevaa

Naballah-from-Trinidad-Bombshell-1-667x1000

Naballa akiwa ame rock trend ya heels na socksNaballah-from-Trinidad-Bombshell-2-667x1000

Naballah katika max skirt colorful

s
s

hii ni rangi rangi yaani kavaa floral trouser, top ya blue, hijab ya kijani na pochi ya orange of course akiwa kaendelea na trend ya heel na socks

Naballah-from-Trinidad-Bombshell-4-667x1000 Naballah-from-Trinidad-Bombshell-5-667x1000

Related posts

Leave a Reply