Tulisema week iliyopita wakati tupo na hijabista Munira kwamba fashion haina mipaka, kila mtu ana weza kuvaa vile apendavyo kutokana na matakwa yake na kutokuvuka mipaka ya kwake yeye na si watu wengine, well leo tuna hijabista & fashionista Naima Osman ambae yeye si fashion blogger wala stylist ana fanya kazi zake nyingine lakini she is a fashion lover. Ukitembelea Instagram account yake ambayo ni @naiosman hutotamani kutoka kila post after post ni nzuri na amependeza. Kwa wale ambao mnapenda kwenda na trends au kuwa stylish mkiwa mmevalia mavazi yenu ya kujistiri basi Naima ni jibu lenu, hizi ni baadhi tulizo zipenda kutoka kwake
Adding some color kwa kuvaa long yellow coat, ndani amevaa turtle neck top, jeans & boots akiwa amemalizia muonekano wake na colored shield glasses na cross body handbag
Hapa akiwa amevaa mid length dress nyeusi, amefunga vizuri turban yake na pumps nyeusi, casual yet stylish.
How stylish is this outfit? ame vaa neutral colors akaongeza na a pop of color kwa kuvaa trench ya orange, the plaid skirt is life.
The Gucci belt to make a statement,
suit it up
this top is everything
black on black
Related posts
7 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 26079 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hijabista-naima-osman-is-modest-style-goals/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hijabista-naima-osman-is-modest-style-goals/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hijabista-naima-osman-is-modest-style-goals/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hijabista-naima-osman-is-modest-style-goals/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/hijabista-naima-osman-is-modest-style-goals/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hijabista-naima-osman-is-modest-style-goals/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 14704 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/hijabista-naima-osman-is-modest-style-goals/ […]