Fashion haina mipaka ni jinsi vile unavyo jiweka na kuvaa kutokana na matakwa au tamaduni zako, katika hii Dunia sote tunaweza kuvaa chochote ili mradi usiwakere wengine na unavaa bila kuvuka mipaka ya rules zako na imani yako. Well kwa ndugu zetu waislam si vyema kuonyesha nywele lakini haimaanishi hawawezi kuvaa vitu kama kofia au beret kisa tu hawawezi kuonyesha nywele zao.
Tumetafuta na kukuta Hijabista hawa wawili Hanifa na Maryam wakiwa wame style hijab zao vizuri huku juu wakiwa wamevalia beret hat’s
Hanifa ame style beret yake nyeusi mara mbili ambapo mara ya kwanza alivaa this long dress yenye balloon sleeves akabeba na pochi ya kikapu huku akiongezea fringe belt ya kitenge.
Mara ya pili alikua casual na blue jeans, white tee akamalizia na long coat
Maryam yeye she went all black for black panther premier
Kuna namna nyingi za kuvaa beret na hijab, unaweza ku style na skirt, suruali na hata (abaya) baibui well unaweza kutazama video hapo chini namna ya kustyle beret yako na hijab
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…