Ndio kwanza mapenzi yao yanaanza na tumesha fall in love na style zao , mwanamuziki Jennifer Lopez na mpenziwe mpya ambae aliwahi kuwa baseball shortstop bwana Alex Rodriguez wame kuwa katika uhusiano ndani ya week chache na tunaweza kusema the style game is too strong
Jlo alivow inĀ Mouret cocktail dress in pale blue, akamalizia muonekano na nude pumps aliyo natch na handbag na glasses wakati Alex ali look dapper in a grey pinstriped suit aliyp valia pink shirt ndani (ladies loves a man in pink) akamalizia muonekano na brown shoes na miwani
Casual Outfits kutoka kwa Jenny na Alex we love us some of them
Tuna penda jinsi wanavyo color combo bila ya kuvaa sare or is it love? wana pendeza mno we love this see through green jumpsuit aliyo ivaa Jenny na red lipstick finished it all
You know ite real when they start matching outfits, Nude for the day.
Glasses ndio kitu kimoja they both love and we love them for that
They say couples that slay together stay together and we are rooting for Jenny and Alex
Related posts
1 Comment
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/his-hers-style-jennifer-lopez-and-alex-rodriguez/ […]