South Africa Fashion Week imeanza na jana kulikuwa na opening party event hii, watu maarufu wengi walihudhuria katika event hii akiwapo rapper A.K.A kutoka South Africa, Models, Reality stars, fashionista’s na wengine wengi as usual sisi jicho letu lilikuwa kwenye mavazi nani kavaa nini na je ni hit or miss kwetu.
South Africa Tv Personality K Naomi Noinyane amefika kwenye event hii in this stylish jumpsuit, showing us some cleavage, we live for the jumpsuit its one hundred and one a statement, hakuhitaji kingine chochote cha kuongezea zaidi ya perfect heels, nude makeup, laid down hair style na simple accessories.
South African Model & Reality Star Blue Mbombo Vowed in this statement burgundy dress ambayo ilikuwa na high slit, amemalizia muonekano wake na sleek hair style, burgundy lipstick to match the dress na white sneakers, we live for the outfit & uniqueness ya kuvaa sneakers she wanted to slay in the comfort zone. love it.
Sarah Langa Mackay looked Gert-Johan Coetzee dress, dripping in finesse
Lunga Shabalala looked dapper in his outfit, tumependa kwamba ameamua kutokuvaa plain suit akachagua yenye prints ambazo zime make statement love it.
Tshepi Vundla on a check suit, we love everything but the fittings, angetoa coat ingekuwa bora zaidi the blazer looks over sized
Related posts
2 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/hit-and-miss-at-the-south-africa-fashion-week-opening-party/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/hit-and-miss-at-the-south-africa-fashion-week-opening-party/ […]