SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

HOLIDAY ESSENTIALS
Mitindo

HOLIDAY ESSENTIALS 

Mapumziko ndio hayo yasha fika bado siku kadhaa mwezi wa kumi na mbili uingie na sote tunajua ni mwezi wa kupumzika, mwezi wa kusafiri, mwezi wa kufunga shule vyuo, mwezi wa kukaa na familia na ku enjoy lakini pia ni wakati mzuri wa ku refresh kabati lako, kuondoa mavazi ya kazini na kubaki na yale ambayo utavaa ukiwa nyumbani. leo tutakutajia vitu muhimu vya kuwa navyo kama holiday starter pack

  • off shoulder ina weza ikawa dress au top – kwa sababu ni kitu kinacho trend na kipo vizuri katika kipindi cha joto hakikisha unakiweka katika kabati lako katika kipindi hiki ili kufanya holiday yako iwe fashionable trending.

49.-off-the-shoulder

  • wide legs trouser – yeah ni holiday right? kwanini ujibane kuwa na wide legs pant ambazo zina achia mwili wako upumue na kitu kizuri kuhusu wide legs ni multipurpose una weza kuvaa casual au night wear

wide-leg-pants-cropped-top

  • Denim shirt – denim shirt pia iko kwenye trend kwa sasa, una weza kuivaa kama casual with some sneakers au night wear na thigh high boots au heels. Lakini pia una weza ukaongezea  na suruali au skirt uka vaa kama denim on denim trend

4STREET-STYLE-e1450206947592

  • shift dress na night dress – hizi ni muhimu unapo pata mitoko yoyote ya hapa na pale vina weza kuwa help full

dress-1-630x630

flop hat na caps – kofia zina saidia sana tunapo kuwa likizo huwa mara nyingi tuna tumia muda huu kutembelea sehemu mbali mbali, ni vizuri uka vaa flop hats au caps kuikinga ngozi yako ya uso na jua na pia kuwa fashionable.

screen-shot-2014-05-22-at-11-20-00-pm

beach wear – hakikisha kwenye kabati lako hukosi mavazi ya ufukweni una wezaje kumaliza holiday season bila kwenda beach?beach-outfits-30

 

flat shoes, heels na sneakers – upande wa viatu uhitaji official shoes, kuwa tu na ndala (flip flops, sandals fupi, heels pear chache na sneakers)

Shoes_1

usisahau accessories kama miwani, saa, hereni na mikufu.

 

 

Related posts