SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How African Celebrities Slayed Valentines Looks
Mitindo

How African Celebrities Slayed Valentines Looks 

Jumanne ilikuwa siku ya wapendao na watu maarufu wengi walitumia siku hii kuwatakia wafuasi wao valentines njema huku wakionyesha mavazi waliyovaa siku hio na wengine ambao waliamua kufanya photoshoot kabisa. Well tumeona watu maarufu wengi kutoka Africa wakiwa wamependeza na mavazi yao, Nchi ambazo tumeona ni Nigeria, Tanzania, South Africa & Uganda, well lets see nani alivaa nini

Tukianza na Nigeria tuliwaona Cec, Ini Edo, na Omotola

South Africa walikuwepo wengi mno kutokana na SAstyleawards kufanyika siku ya valentine wengi walihudhuria wakionekana wamevalia nguo nyekundu tumewaona watu maarufu kama mihlalii_n & Lasizwe, Boity pamoja na Lootlove

Kwa Uganda tumewaona Pia Pounds, Sheebah & Mrs Bainomugisha

Kwetu tumewaona wengi mno from couples to single’s wote walionekana kupendeza na mavazi yao baadhi ya tuliowaona ni Gigy Money, Linah na Tessy Chocolate

Wengine ni Mc Gara B, Dogo Janja & Maulid Kitenge

Tuambie hapo chini nani kutoka Nchi gani amekuvutia zaidi?

Related posts