SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How Anitha Closet Recreated Beyonce’s Look
Mitindo

How Anitha Closet Recreated Beyonce’s Look 

Anitha Closet ni fashion blogger & fashionista kutoka Nchini kwetu Tanzania, ni moja kati ya wale fashionista ambao wapo kwenye game kwa muda mrefu, hats off kwake kwa kuendelea kuwepo kwenye tasnia bila ya kuchuja.

Anitha alihudhuria katika Autism Awareness Gala akiwa amevalia hii look ambayo ilitukumbusha look kutoka kwa mwanamziki Beyonce yeye aliivalia akiwa London, wakati Beyonce alivaa look hii in emerald green and black satin plunging gown yenye hip-height leg slit, Anitha yeye alivalia blue skirt na mint top amemalizia muonekano wake na statement necklace na open sandals

Well tumependa kwamba ame re-create lakini tofauti kulingana na mwili wake lakini pia ambavyo yeye aliamua iwe skirt na top badala ya gown, let us know your thoughts on the looks.

Related posts