SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How Celebrities Are Styling Knee/Thigh High Boots
Mitindo

How Celebrities Are Styling Knee/Thigh High Boots 

Moja kati ya viatu ambavyo huwa vina upgrade muonekano ni boots, ukiachana na ku-upgrade muonekano boots huvaliwa mara chache sana hasa huku kwetu Africa kutokana na hali ya hewa yetu kidogo hairuhusu hivyo unapozivaa zinakupa utofauti na ku-stand out na wengine.

Tumeona toka mwishoni mwa mwaka jana na mwaka huu watu maarufu wengi wakivalia boots kwa style mbalimbali hasa wanamuziki na fashionista’s, utajiuliza kwani wao hawapo kwenye joto? kikubwa ambacho tumeona wengi wao wanakifanya ni kuvaa na nguo ambazo hazifuniki maungo so inawapa nafasi ya kupata hali ya hewa nzuri lakini pia wanavaa kwenye stage au kufanyia photoshoot.

Incase ungependa kuvaa viatu hivi basi tip kubwa ni kuvaa na nguo fupi, kama ni ndefu basi ziwe nyepesi sio nzito au vaa na magauni yenye mpasuo mrefu.

Ambao tumewaona wakiwa wamevalia hivi viatu ni

Paulah

Nandy

Phina

Yammi

Well tuambie style za nani zimekuvutia zaidi?

Related posts