SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How Celebrities Showed Up At Beyonce’s Renaissance Tour In Las Vegas
Mitindo

How Celebrities Showed Up At Beyonce’s Renaissance Tour In Las Vegas 

Mrs Carter alianza tour yake May mwaka huu na amekuwa aki-slay left and right lakini sehemu zote alizopita ni watu maarufu wachache walio hudhuria hii inawezekana labda na makazi yao kuwa mbali na tour au walikuwa wanasubiri tour ifike Las Vegas ndio wahudhuria as tunajua ni mji ambao wengi wao wapo.

Kutokana na ambavyo tumeona Beyonce alitoa maelekezo ya nini kivaliwe na ilikuwa silver color, and let’s say most of them hawaj disappoint tuanze na Band mate wake Ms Kelly baby

Kelly Rowland alivaa silver outfit siku ya kwanza na ya pili ambapo siku ya kwanza alivaa full silver look, bomber jacket, top na suruali ya silver kutoka kwa BUERLANGMA, siku ya pili alivalia suruali ya jeans na crop top ya silver

Muigizaji Gabriella Union nae alionekana kuhudhuria kwenye event hio akiwa amehudhuria siku mbili siku ya kwanza alivalia crystal embellished hooded dress ikiwa inaonysha vyote vya ndani na siku ya pili alichagua fringe silver top na jeans

wengine ambao tuliwaona ni Tracee Ellis Ross akiwa amevalia multi-color sequin sleeveless mini dress alimalizia muonekano wake na sandal nyeusi na Issa Rae akiwa amevalia prada chain mail look ambayo ni spaghett top na mini skirt.

Related posts