SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How Did Kylie Jenner Turn Lemon To Lemonade (Boss Moves)
Mitindo

How Did Kylie Jenner Turn Lemon To Lemonade (Boss Moves) 

Kama humjui Kylie Jenner basi utajua brand yake ya vipodozi iitwayo Kylie Cosmetics, well leo tunamuongelea namna ambavyo ameweza kugeuza Lemon kuwa Lemonade na kuifanya kwama biashara na kwasasa anatabiriwa kuwa billionaire katika umri wa miaka 21, Yeah yeah yeah tunajua wote mtasema lakini she was born rich, let’s face it kuna watoto wa matajiri wengi Duniani lakini hawana kampuni zao wanategemea mali za wazazi, tunaongelea kuwa Billionaire tunamaanisha hii ni kutokana na kampuni yake anayo imiliki mwenyewe achana na pesa za familia.

Kylie Jenner alianza kuwa insecure na lips zake akiwa na umri mdogo, na mwenyewe alisema kwamba alikuwa na insecurity na lips zake “I was super insecure about my lips,” the star tells Glamour UK. “I really wanted to illusion of bigger lips, so I overlined mine like crazy, and then people started getting obsessed.”

 

Lakini pia aliamua kufanya lip fillers ili kufanya lips zake zionekane nene na kuwa na mvuto, hapo ndipo kila mtu akaanza kuongelea kuhusu lips zake na wengine kufanya lip fillers pia, seen that na kupenda makeup Kylie akaona afanye biashara ambapo mwaka 2015 aliingia katika biashara hii na  alianza na lip kit alianza na lip kit 15,000 ambapo ziliuzwa kwa $250 zilikuwa sold out in a minute, February mwaka 2016 Kylie aliweza ku-produce lipkits 500,000 na ingizo lake lilikuwa $307M, na sasa ana highlighters, eyeshadow, eyeliner, na blush a full package. Akisaidiwa na collaboration mbalimbali anazofanya na watu maarufu mbalimbali kama Kim Kardashia, Khloe Kardashian, Kourtney Kardashian na Mama yake Kris Jenner zimemsaidia sana katika kuuza bidhaa zake.

Na sasa amekuwa mentioned na gazeti la Forbes kwamba kutokana na umri wake mdogo amekuwa the youngest person on the fourth annual ranking of America’s Richest Self-Made Women.

Kylie ana worthy $900M sawa na Bilioni 2,058,210,000,000 za ki-Tanzania, na marketing yake asilimia 80 ni kwenye mitandao ya kijamii, to our girls and boys ambao mna struggle, ambao mna insecurity za hapa na pale unaweza kutumia insecurity yako kama opportunity kufikia unachotaka, jua si wewe tu ambae una hilo tatizo kuna million ya watu wanalo na wenyewe wanatafuta ufumbuzi be they are answer. Be Kylie she turn her insecurity into a big business

 

 

Related posts

4 Comments

 1. Investment opportunities

  … [Trackback]

  […] Here you can find 79897 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-did-kylie-jenner-turn-lemon-to-lemonade-boss-moves/ […]

 2. Visit Your URL

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-did-kylie-jenner-turn-lemon-to-lemonade-boss-moves/ […]

 3. check here

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-did-kylie-jenner-turn-lemon-to-lemonade-boss-moves/ […]

 4. image source

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-did-kylie-jenner-turn-lemon-to-lemonade-boss-moves/ […]

Comments are closed.