SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How Fashionista Azure Kange Styled Pleated Skirt’s
Mitindo

How Fashionista Azure Kange Styled Pleated Skirt’s 

Moja ya timeless pieces ni pleated skirts, hizi huvaliwa msimu mbalimbali na pia zinaweza kuwa styled kwa namna nyingi, iwe kazini, mitoko au hata casual looks.

Leo tunakuletea fashionista kutoka hapahapa Tanzania, mwanadada Azure Kange yeye ameonekana kuzipenda sana skirt hizi na tumependa namna ambavyo anazi-style ki-ofisi.

Huwa anapenda kuzivaa na belt, miwani pamoja na mkoba, kama una skirt za aina hii basi unaweza kuiga ideas za vipi unaweza kui-style kutoka kwa fashionista huyu.

Related posts

2 Comments

  1. look at more info

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-fashionista-azure-kange-styled-pleated-skirts/ […]

  2. สล็อตเว็บตรง แตกง่าย

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-fashionista-azure-kange-styled-pleated-skirts/ […]

Comments are closed.