SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How Macrida Joseph, Rio Paul & Noel Ndale Slaying The Streets Of Dubai
Mitindo

How Macrida Joseph, Rio Paul & Noel Ndale Slaying The Streets Of Dubai 

Watu maarufu wengi kwasasa wapo Nje ya Nchi huku wengi wao wakionekana wapo Dubai, kati ya wengi hao tumewaona stylist’s wakubwa kabisa kutoka Tanzania ambao ni marafiki wakiwa huko Dubai kwenye Vacation.

Ikiwa ni ma stylist’s tukaona tuwaletee nini wamevaa kwenye Vacation yao na labda utavutiwa incase nawewe ukienda ujue cha kuvaa huko.

Rio Paul, tumeona hizi looks tatu kutoka kwake ambazo tumependezwa nazo tukianza na hii ya denim on denim look ambayo alivaa washed blue shirt na dark blue trouser akamalizia muonekano wake na colorful kicks pamoja na scarf, look ya pili ni hii ambayo alivaa striped shirt,distressed jeans na oxford huku muonekano wa tatu akiwa amevalia co ord set akamalizia na crocs unaweza kuona how relaxing his looks are yet stylish.

Tukija kwa Macrida Joseph sisi upenda kumuita Miss Sina Kazi Ndogo, Macrida the streets are her runway yaani huwezi kum-catch akiwa hovyo yeye huwa anajipigilia kinaga ubaga, well kwake tumeona hizi looks tatu ambazo tumevutiwa nazo ambapo kuna hii alivaa belt’s denim skirt, white shirt yenye blue denim touch’s akamaliza muonekano wake na pumps nyeupem fendi bag, miwani na accessories ndogondogo, muoenekano mwingine ni hii white look ya ruched cut out dress, white boots napo akamalizia na bag na miwani, wakati ya tatu ni hii short denim pants, over the knees boots, white crop top miwani na handbag, you can tell sis isn’t playing.

Noel Ndale, yeye yupo more relaxed yaani habanwi banwi moja kati ya looks zake za Dubai ni hii linen blue & white stripes shirt, amevalia na white cargo pants akamalizia muonekano wake na white kicks, miwani na mkufu,look ya pili amesema ni collection yake ya Dubai hapa alivaa colorful shirt, suruali nyeusi akamalizia na white shoes ya mwisho ni hii colorful look ya purple,peach short pants, green sock akamalizia na off white shoes miwani na ka-cross bag.

well let us know thoughts zako kuhusu drip zao.

Related posts

2 Comments

  1. Buy Albino Penis Envy Mushrooms For sale Victoria

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-macrida-joseph-rio-paul-noel-ndale-slaying-the-streets-in-dubai/ […]

  2. toronto weed delivery

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-macrida-joseph-rio-paul-noel-ndale-slaying-the-streets-in-dubai/ […]

Comments are closed.