SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How Muna Love’s Praising The Lord Through Fashion
Mitindo

How Muna Love’s Praising The Lord Through Fashion 

Dini na mitindo ni vitu ambavyo vinaleta utata mkubwa, wengi wakiamini aina fulani ya mavazi hayatakiwi kuvaliwa ukiwa dini fulani na kama unajitangaza ni dini fulani basi unatakiwa kuwa namfa fulani, kila mmoja wetu ana believe yake lakini mwisho wa siku ni wewe na imani yako.

Leo tupo na mwanadada Muna Love ambae alitangaza kuokoka miaka michache nyuma, ukiachana na kuokoka kwake Muna ni mwanadada anaependa kuvaa vyema, hivi karibuni tumemuona akivalia hizi graphic jeans ambazo zimeandikwa I Love Jesus.

Distressed Denim Skirt

Denim Coat & Denim Jeans

Denim Pants

Tuambie Je Umependa Style Hizi Za Muna?

Related posts