SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How Nigeria Celebrities Applied Pressure At Adeola’s Birthday Party
Mitindo

How Nigeria Celebrities Applied Pressure At Adeola’s Birthday Party 

Nigerians don’t play linapokuja swala la kuvaa wanaenda na theme, wana unique design’s finishing na fittings zao always zinakuwa on point, kuhusu styling ndio balaa let’s say the get the assignment, well mwanadada Adeola C Adeyemi ametimiza miaka 30 na amejifanyia party. Watu maarufu mbalimbali wamehudhuria na hizi ni looks chache tulizo zipenda.

Birthday girl alikuwa na looks 3 bahati mbaya tumepata picha ya hii moja tu

Christiana Kayode & adela noh looked sensational

Mercy Eke And Catty showed up and showed out

well if this isn’t applying pressure we don’t know what is

Related posts