Moja kati ya essential muhimu katika kabati lako ni white shirt, a white shirt can be dressed anyhow you want. Wengi wetu huwa tunayo na tunayatumia sana ofisini lakini kumbe unaweza kulitumia weekend pia, wakati ofisini unalivaa na suit, pencil skirt au trouser official na unafunga kifungo hadi juu weekend unaweza ku switch it up ukalivaa casual
Rock it with distressed trouser, add a little bit of color kwa kubeba a nice clutch,accessorize na vaa a good pair of heels unaweza ukatoka dinner na washkaji
Roll the sleeve up, fungua vifungo kidogo kama una tumbo la kuonyesha add some floral pants na match shirt na viatu, your good for clubbing with yor girl sisters
What is weekend with out a comfortable short pants? tena fungua vifungo vya chini, vaa na pant yako nzuri unaweza ku rock it with sneakers au heels
Hii ni nzuri kwa mitoko ya kawaida,
Pictures credit @Nthabiseng Khoza
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-switch-a-white-official-shirt-to-casual-for-the-weekend/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 61632 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-switch-a-white-official-shirt-to-casual-for-the-weekend/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-switch-a-white-official-shirt-to-casual-for-the-weekend/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-switch-a-white-official-shirt-to-casual-for-the-weekend/ […]