Umesha wahi kukutana na kijana ambae anafanya kazi ya kawaida lakini unaweza kudhani yeye ndio CEO wa kampuni hio? Yes inawezekana na wewe kufanya hivyo, wengi wetu tunatumia excuse ya kwa kazi gani? au mimi siwezi ku-dress vile kuna wenyewe, futa hizo fikra unaweza kwa hikohiko cheo chako na hivyo hivyo ulivyo.
Leo tunakuletea tips za namna ambavyo unaweza ku-dress powerfully
- Vaa Utakacho Kwa Kujiamini
Kitu cha kwanza unachotakiwa kujua ni kwamba “you are what you wear”, mavazi yanaendana na vile unajisikia ndani, mfano kuna siku unaamka una furaha basi hii itaonyesha kwenye mavazi yako pia na kuna siku unaamka alimradi basi hii itaonyesha kwenye mavazi yako pia.
Unachotakiwa kufanya ni kujiamini na ukivaacho, amini kwamba kujiamini kunaongeza asilimia kubwa ya muonekano wako, unapo amua kuvaa colorful hakikisha hujishtukii au kujiona too much hicho ndicho umechagua kuvaa na vaa ukiwa na confidence.
- Power Of Accessories
Oh yes accessories zinanafasi kubwa katika muonekano wako na kutuma signals kwa watu wengine, mfano unapovaa white shirt na suruali ya blue ukamalizia na kiatu chako cheusi hapa wengi tunakuwa tumemalia na kuona tunaonekana powerful lakini kuna mwingine atakuja amevaa kama wewe akiongezea na saa, hereni au mkoba ambao ni statement basi wengi wata m-notice yule kuliko wewe. Na hii ndio part ya accessories katika kuonekana powerful zinaweza zisiwe za bei ghali lakini ziwe na quality nzuri.

- Jua Sheria Za Fashion Na Jua Namna Ya Kuzivunja
Fashion zinamipaka yake utaambiwa usivae hiki hapa, au hapa panatakiwa kuvaliwa hiki. Lakini wengi ambao wanaonekana kama fashion icons ni wale ambao wana vunja sheria hizi, Tumuongelee Usher ambae yeye alikuwa moja ya trend setter wa style ya kuvaa suit na kicks badala ya oxford shoes ambazo wengi tumezoea. Au kuvaa coat ya suit na jeans.

Sheria zimewekwa hili zivunjwe moja kati ya sheria ambazo sisi tunapenda kuzivuja hasa ofisini ni kuvaa mavazi yasiyokuwa na rangi nyingi, namna gani tunavunja hii sheria? ni kwa kuvaa vazi moja ambalo linarangi mfani suruali huku tukimalizia na vingine ambavyo rangi zake zimepoa hii inakufanya uonekane stylish na yet sio too much.
- Focus On The Fit
Nguo kukutosha ni kitu muhimu sana sana sana, tuamini tukikwambia kwamba unaweza kuvaa suit ya mamilioni ambayo haikotoshi vizuri ukaonekana cheap na akasimama mtu aliyevaa nguo za elfu kumi tu juu mpaka chini lakini zimemtosha vyema akaonekana expensive.
Un fitted clothing are very unflattering, kama umenunua nguo haikutoshi peleka kwa fundi kama kuna kitu ambacho tunajifunza kutoka kwa hawa style icon na stylist ni kuvaa mavazi yanayo kutosha ukiwaangalia the Kardashian, Rihanna, Beyonce utaona namna ambavyo nguo zao zinawafit sawa na maumbo yao, yeah yeah utasema ni custom made hio sio excuse zinaweza kuwa sio custom lakini ukapeleka kwa fundi akazirekebisha.
Hizi ndizo dondoo chache ambazo tumekuandalia kama utazijaribu tafadhali usisite kutu-tag katika mitandao yetu ya kijamii.
Related posts
1 Comment
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 64837 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-dress-powerfully/ […]