SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How to Feel Confident In Your Clothes
Mitindo

How to Feel Confident In Your Clothes 

Usikubali watu wakupangie cha kuvaa wewe ndo unayechagua cha kuvaa so wear them with pride. Asikuambie mtu hakuna kitu kizuri kama ukifeel confident na comfortable in your clothes na huu ndio muda wakujisikia vyema ukiwa umevalia mavazi yako. Wewe ndio best vision of yourself kwaio unatakiwa ujiamini.

zifuatazo ni tips za kukufanya ujiamini na mavazi yako

  • Share your vision.

Katika kitu muhimu ni hiki kama hauwez kushare kitu gani unaenda kuvaa kwa siku husika basi hauwez kuwa confident kwa sababu wewe unajiona lakini rafiki au uliyenae karibu atakuona zaidi, kabla ya kutoka na vazi lako livae kisha waulize wengine kama limekupendeza na upate maoni yao hii itapelekea wote kuchagua best style-bubbles of your vision.

  • Use your secret weapon.

Ni moja ya kitu cha kushangaza ila your underwear ni kwa ajili yako na hakuna mtu anayeweza kujua umevaa nini ila ukivaa underwear safi na nzuri inakufanya uwe confident, sex, Lucy, protected na hata ukipata mihadi na mwenza wako bahati mbaya bado utajiamini kwasababu umevaa kitu kisafi na kizuri ndani.

  • Choose your best outfit ya kuvaa

Kama utashindwa kuchoose best outfit ya kuvaaa basi hauwezi kuwa confident. Vaa gauni, shirt, trouser au tshirt ambayo unahisi ni best, siku zote mtu ukivaaa kitu unachokipenda kitakufanya ujisikie confident asikuambie mtu bwana ukivaa kitu kizuri huwezi kujishtukia.

  • Long live clothes!

Hauwezi kuwa na confident kama hauonyeshi mavazi yako your some love. Haijalishi kama unapair moja ya jeans ambayo inakufit, Unachotakiwa kufanya ni kutunza vazi hilo na kulifanya liwe zuri kwa muda mrefu, tafuta bidhaa za matunzo ya mavazi (clothes care products) ambazo zitasaidia kuzuia mavazi yako kuchakaa, kupauka au kuhribika shape yake ili kila mara unapovaa ujisikie kujiamini

  • Be confident with your body

Kama hauwezi kujisikia confident na aina ya mwili wako basi hauwezi kujisikia confident katika mavazi yako. Haijalishi una aina gani ya mwili kitu cha muhimu ni kuwa confident na mwili wako, ukipenda mwili wako basi utachagua mavazi yanayoendana na mwili wako na yatakukaa vizuri kitu ambacho pia kitasaidia ku-boost kujiamini kwako.

  • Choose the colors and fabrics that you love

Kama utashindwa kuchagua rangi au aina ya fabrics ambayo unaipenda basi hauwezi kujisikia confident. Kuna baadhi ya watu wanapenda sana kuvaaa black na akivaaa black anakuwa confident basi vaa hata kila siku ili ujisikie special na confident. Pia usisahau kuchagua nguo nyenye kitamba unachokipenda hiko kitu kitakufanya upende nguo yako na kujiamini zaidi.

  • (CATWALK) Walk with confidence and your head held high

kama unatembea vibaya basi hauwezi kujisikia confident kwenye mavazi yako. Unaambiwa attention inakuja kwenye kutembea kwanza halafu mtu ndio aangalie nguo zako, Bila catwalk nzuri utahisi haujapendeza.

Kuna tips zingine ambazo zinaweza kusaidia kwenye kukufanya ujisikie confident na mavazi yako, ambazo ni Know yourself, Wear clothes that make you feel comfortable, Don’t be too hard on yourself, Smile Smile Smile Smile!

NOTE; The main thing to remember is who cares what anyone else thinks? If you’ve chosen your outfit, you’re going to love it & be confident about it

Imeandikwa na @gotchathegreatest

Related posts