SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How To Fix Too Many Prints Outfit Problem
Mitindo

How To Fix Too Many Prints Outfit Problem 

Mara nyingi huwa tunatafuta njia za kuwasaidia hasa katika mitindo na urembo na kwasasa turudisha segment ya AFsFashionFix, hapa tutakuwa tunaongelea matatizo mbalimbali ya mitindo na namna ya ku-fix na kuanza na segment hii tunaanza na How to Fix Too Many Prints Clothes Problem

Wengi wetu tunapenda mavazi yenye prints, iwe maua, mistari,michoro etc. Sababu kubwa ya kupenda mavazi haya ni kukufanya una stand out lakini pia ni rahisi kumix na mavazi mengine ni watu wachache wenye boldness ya kuvaa mavazi haya, mavazi haya yanapo kuwa mengi unaweza kuchanganyikiwa maana ku-mix prints na kikatokea kitu kinachoeleweka kinahitaji utulivu na jicho la fashion la hali ya juu, leo tunakuletea namna ambavyo unaweza kutatua hili.

  • Tone It Down

Anza kwa kuchagua dominant print katika vazi lako, kuanzia hapo chagua secondary print ambayo ita compliment the main one. Kama huna uhakika basi stick to the prints ambazo zina same color family mfano; Kama unavaa floral prints blouse yenye green na pink colors basi na chini unaweza kuvalia skirt au trouser ya polka dot yenye rangi hizo

  • Break Them Up With Solid Color

Namna nyingine ya ku-balance print ni kwa kuzitengenisha, kwa kutumia solid colors, mfano unaweza kuvaa shirt ya mistari mistari yenye rangi kadhaa ukatummia suruali au skirt yenye plain color inayoingiliana na zilizopo kwenye blouse. Lakini pia unaweza kuvaa print on print na kutumia blazer ambayo ina rangi moja yenye ku-match rangi inayoingiliana kwenye both skirt and blouse na ukapendeza.

Tuambie ungependa tuongelee nini kwenye fashion fix next week?

Related posts