SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How To Have Fun With Kitenge Outfits This Weekend
Mitindo

How To Have Fun With Kitenge Outfits This Weekend 

Ni Furahi day nyingine tena, tunaanza mapumziko ya weekend na sote tunajua inapofika weekend tunachotaka ni kupumzika na familia na marafiki lakini pia kutoka nao kwenda nao sehemu mbalimbali ku-clear mind na ku-have fun. Weekend hii tumeona kwanini tusiwaletee namna ambavyo unaweza kuongezea kitenge katika mitoko yako ya hapa na pale, well yes kuna aina ya mishono ya vitenge ina trend kwa sasa unaweza ukawa nao kabatili lakini unavaa tu labda nyumbani au kazini na hujui unaweza ku-style vipi katika mitoko mingine mwanadada Cay Seya fashion blogger kutoka Canada anakuonyesha jinsi ambavyo unaweza kuingia mitaani na kitenge chako na kupendeza

Una own a little skater dress ambayo huwa unavaa na blazer kanisani au kazini? take off the blazer & heels na jaribu kuifanya iwe more casual kwa ku-accessories na casual accessories

Off shoulder kitenge top & skin jeans na vans is all you need for your weekend shopping outfit.

Off shoulder kitenge dress unaweza kuivaa ukienda ufukweni, kutoka na marafiki kwenda shopping au kuzurua.

Kama una wide leg trouser nayo inafaa well weekend is all about the comfy unaweza kuivaa na flat sandals.

You have a dinner date? hizi chini zinakufaa zaidi.

two pieces .

Related posts

4 Comments

 1. discover this

  … [Trackback]

  […] Here you can find 84902 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-have-fun-with-kitenge-outfits-this-weekend/ […]

 2. สล็อตเครดิตฟรี

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-have-fun-with-kitenge-outfits-this-weekend/ […]

 3. 리플가격

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-have-fun-with-kitenge-outfits-this-weekend/ […]

 4. 다시보기 사이트 순위

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-have-fun-with-kitenge-outfits-this-weekend/ […]

Comments are closed.